Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana walioomba nafasi za kazi kwa upande wa Pemba katika Taasisi zifuatazo kuhudhuria katika usaili utakaofanyika katika Skuli ya Sekondari Fidel Castro iliyopo wilaya ya Chakechake Pemba. Taasisi zenyewe ni:
1. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
2. Ofisi ya Rais Ikulu
3. Tume ya Utumishi Serikalini
4. Kamisheni ya Ardhi.
Pakua PDF hapo chini.
Download PDF