Kuitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi Zanzibar

Kuitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi Zanzibar Zanajira

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Kuitwa kwenye Usaili Tume ya Utumishi Zanzibar

Tume ya Utumishi Serikalini inawatangazia vijana walioomba nafasi za kazi kwa upande wa Pemba katika Taasisi zifuatazo kuhudhuria katika usaili utakaofanyika katika Skuli ya Sekondari Fidel Castro iliyopo wilaya ya Chakechake Pemba. Taasisi zenyewe ni:

1. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
2. Ofisi ya Rais Ikulu
3. Tume ya Utumishi Serikalini
4. Kamisheni ya Ardhi.

Pakua PDF hapo chini.
 

Download PDF

Similar content Most view View more
Back
Top Bottom