Hili hapa tangazo la orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana wote walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kutembelea akaunti zao za maombi ya ajira kupitia tovuti ya Uhamiaji www.immigration.go.tz na kwa barua pepe zao ili kupokea taarifa na maelekezo ya tarehe na eneo la kufanya usaili kwa waliochaguliwa.
KUITWA KWENYE USAILI UHAMIAJI - FEB, 2026 Interview Uhamiaji
- Thread starter Sia
- Start date
NECTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025 SHULE ZOTE BONYEZA HAPA
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Similar content
Most view
View more