New member
- Joined
- Mar 31, 2025
- Messages
- 1
Nkasi.
SLP 104
Rukwa
Yah: ombi la nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi
Ndugu,Rejea kichwa cha habari hapo juu cha husika sana,
Mimi ni mvulana ninayeitwa DELYA KINDA KUMBALA nimehitimu elimu ya sekondari mwaka 2024 nina sifa zilitangazwa kwenye tangazo la kujiunga jeshi la polisi
Mwaka huu 2025 ,hivyo naomba nafasi hii kwa kuwa ninaipenda kwa ajili ya kulinda na kuitetea katiba ya nchi yangu ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
Wako katika ujenzi wa taifa
DELYA KINDA KUMBALA
Namba yangu ya simu...0624692749

Polisi
Msaada