- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Shirikisho la Mpira wa miguu nchini (TFF) imesimamisha ligi kuu Tanzania Bara kuanzia Disemba 29,2024 mpaka Machi 1,2025 kupisha michuano ya Mapinduzi Cup pamoja na Michuano ya CHAN itayoanza Mwezi january Mwaka Ujao.
Baada ya Shirikisho la kandanda Nchini Tanzania (TFF) kutangaza kuanzia 29/12/2024 ligi kuu ya NBC itasimama kwa muda wa miezi miwili (2), mdau wa soka Haji Manara ameuliza maswali kutoka na taarifa hiyo.
"kusimama kwa ligi kuu ya NBC kwa kipindi kirefu cha zaidi ya miezi miwili mfululizo kuna faida au hasara?."
"Wachezaji wetu watarudi kwenye Momentum ya sasa au wataanza upya?
Na je kulikuwa na ulazima wa ligi kusimama kipindi chote hicho?"
"Mwezi huo wa Tatu kuna Mashindano ya kimataifa kwa kalenda ya FIFA,,,Tutafanyaje? Itasimama tena kwa siku ngapi?
"Yanga na Simba zikifuzu kwa Robo fainali ya Mashindano ya Vilabu Afrika,pia zitacheza March,Ipoje hii?
Ok::Ngoja tuwe nao Kidimbwi na Wavuvi kwa miezi hyo miwili "