MABADILIKO YA ENEO LA USAILI WA VITENDO NA MAHOJIANO KADA YA ARTISANS - CIVIL II (RAILWAY TRACK)

MABADILIKO YA ENEO LA USAILI WA VITENDO NA MAHOJIANO KADA YA ARTISANS - CIVIL II (RAILWAY TRACK) AJIRA PORTAL

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, anawajulisha waombaji kazi wa kada iliyoainishwa kwenye tangazo hili kuwa, kuna mabadiliko ya eneo la kufanyia usaili wa vitendo na usaili wa mahojiano. Usaili wa vitendo na mahojiano utafanyika katika maeneo yaliyoainishwa kwenye jedwali hapo chini. Aidha, maelekezo mengine yatabaki kama yalivyotolewa kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.
MABADILIKO YA ENEO LA USAILI WA VITENDO NA MAHOJIANO KADA YA ARTISANS - CIVIL II (RAILWAY TRACK)
 
Back
Top Bottom