Usaili wa Afisa Hesabu II utafanyika Ukumbi wa Major General Isamuhyo, Mgulani JKT. Usaili wa Afisa Utumishi II utafanyika Nyerere Lecture Theatre 1 & 2, UDSM, siyo Mwalimu Nyerere Memorial Academy. Muda na tarehe havijabadilika. Kwa waombaji wa usaili wa vitendo wa eGA, kuna mabadiliko ya tarehe. Ratiba imeambatanishwa
Nafasi 7 za Kazi Serengeti Breweries
Ajira Mpya 2025
Attachments