Mabadiliko ya ratiba ya usaili Waombaji kazi waliioitwa kwenye usaili wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kada za ICT OFFICER (PROGRAMMER), MEDICAL OFFICER II, SHOE MAKER II, ARTISAN II (PAINTER), RADIOLOGY SCIENTIST II , RADIOGRAPHY TECHNICIAN II mnajulishwa kuwa kuna mabadiliko ya tarehe za usaili kama zinavyooneka kwenye kiambatisho hapo chini.
Maswali ya Usaili Network System Security Admin
2025 Interview PDF