Mabadiliko Ya Ratiba Za Simba NBC

Mabadiliko Ya Ratiba Za Simba NBC

Revoo

Member

Reputation: 18%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
160
Mchezo namba 125 wa ligi kuu ya NBC kati ya Tabora United dhidi ya Simba SC uliokuwa uchezwe December 28 umeondolewa kwenye ratiba na utapangiwa tarehe nyingine sababu kubwa ya mchezo huo kuondolewa kwenye ratiba Simba kuanza mzunguko wa pili huku ikiwa na mchezo wa raundi ya kwanza haujachezwa.
FB_IMG_1732800184452.webp


Na sasa tarehe hiyo (December 28) Simba itacheza na Singida Big Stars mchezo ambao utachezwa mkoani Singida kwenye dimba la Liti mkoani humo. Pia vilabu vya Simba na Yanga vitacheza michezo minne ili kumaliza michezo yao ya raundi ya kwanza ndio michezo ya raundi ya pili itaanza. Simba michezo minne ya raundi ya kwanza iliyobaki ratiba itakuwa hivi👇

  • December 18 dhidi ya Kengold (Home)
  • December 21 dhidi ya Kagera Sugar (Away)
  • December 24 dhidi ya JKT (Away) na
  • December 28 dhidi Singida (Away)
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom