Mabadiliko ya tarehe ya usaili wa Vitendo Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote wa kada ya MARINE ENGINEER II, DECK OFFICER II, ONBOARD ATTENDANT II, ORDINARY SAILOR II, MOTORMAN II ambazo mwajiri wake ni Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) kuwa kuna mabadiliko ya ratiba ya usaili wa vitendo.