Mafunzo ya Kozi Fupi Wataalamu wa Maabara GLLP

Mafunzo ya Kozi Fupi Wataalamu wa Maabara GLLP Wizara ya Afya

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Wizara ya Afya kupitia Kitengo cha Huduma za Uchunguzi na Huduma za Kiufundi za Afya (DHCTSU), kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), inatangaza kozi fupi ya Global Laboratory Leadership Programme (GLLP).
Mafunzo ya Kozi Fupi Wataalamu wa Maabara GLLP

Kozi hii inalenga kusaidia na kuwaandaa viongozi wa sasa na wanaochipukia kwenye maabara ili kujenga, kuimarisha, na kudumisha mifumo ya maabara kitaifa. Kiongozi wa maabara, kulingana na mfumo wa umahiri wa uongozi wa maabara, ni mtaalamu wa sayansi ya maabara anayesimamia bajeti, kuwahamasisha wafanyakazi, kutetea umuhimu wa maabara, kujenga ushirikiano na wadau wa nje, na kushughulikia masuala ya kisheria.

Pakua PDF hapa chini.
 

Attachments

Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom