Majina ya Usaili Polisi 2025

Majina ya Usaili Polisi 2025 Jeshi la Polisi Tanz

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Polisi Tanzania 2025 Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza majina ya vijana waliochaguliwa kushiriki katika usaili wa ajira mpya kwa mwaka 2025/2026. Usaili utaanza tarehe 28 Aprili 2025 hadi 11 Mei 2025 nchini kote. Wale wenye elimu ya Shahada, Stashahada, na Astashahada watafanya usaili Dar es Salaam kwenye Kambi ya Polisi, Barabara ya Kilwa. Wenye elimu ya Kidato cha Nne na Sita watafanya usaili katika mikoa waliyochagua wakati wa maombi. Kwa Zanzibar, usaili utafanyika Makao Makuu ya Polisi Zanzibar (Unguja) na Ofisi ya Kamanda wa Polisi Kusini Pemba (Chakechake).

Waombaji wanatakiwa kuleta vyeti halisi vya taaluma, cheti cha kuzaliwa, kitambulisho cha NIDA, na nguo za michezo. Msailiwa yeyote atakayefika baada ya tarehe 28 Aprili 2025 hataruhusiwa. Orodha ya majina iko kwenye tovuti rasmi ya Jeshi la Polisi. Waombaji wote wafuate maelekezo na ratiba ili kujiandaa vizuri.

Angalia hapa orodha nzima.
Majina ya Usaili Polisi 2025.webp
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom