Hii hapa orodha ya Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 na shule walizopangiwa kujiunga na form five kwa mwaka 2025, wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne na kufaulu Mtihani wa Kitaifa (CSEE) huchaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano katika shule za sekondari za umma au za kibinafsi. Uchaguzi huu unaongozwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia mfumo wa Selform. Wanafunzi huchaguliwa kulingana na alama zao, chaguo lao la kozi (kama PCM, PCB, HGL na zingine nyingi), na nafasi zilizopo shuleni.
Shule walizopangiwa kidato cha tano Mchakato huanza baada ya matokeo kutangazwa, ambapo wanafunzi hujaza maombi yao mtandaoni. Baada ya uchambuzi, orodha ya waliochaguliwa hutangazwa, ikionyesha shule na mwelekeo wa masomo. Wanafunzi waliokosa nafasi za serikali wanaweza kujiunga na shule za kibinafsi au vyuo vya ufundi.
Tazama hapa waliochaguliwa kidato cha tanona vyuo.

Kubadilisha tahasusi 2025
Kubadili Combination