- Views: 13K
- Replies: 1
Hii hapa orodha ya majina ya waliochaguliwa walioitwa/kuitwa kwenye usaili Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anapenda kuwatangazia kuwa vijana waliomba ajira ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kupitia mfumo wa ajira ZIMAMOTO RECRUITMENT (ajira.zimamoto.go.tz), Usaili utafanyika kuanzia tarehe 15 Disemba, 2025 hadi tarehe 20 Disemba, 2025 2025 kuanzia saa 1:00 Asubuhi kwa kila kundi.
Waombaji waliomba ajira kwa elimu ya kidato cha nne usaili wao utafanyika kuanzia tarehe 15 Disemba, 2025 saa 1:00 Asubuhi kwenye mikoa walioichagua wakati wa kutuma maombi.
Angalia hapa
Waombaji waliomba ajira kwa elimu ya kidato cha nne usaili wao utafanyika kuanzia tarehe 15 Disemba, 2025 saa 1:00 Asubuhi kwenye mikoa walioichagua wakati wa kutuma maombi.
Angalia hapa
Waliochaguliwa Usaili Zimamoto Disemba 2025
ajira.zimamoto.go.tz
Majina ya Usaili Zimamoto Disemba 2025
ajira.zimamoto.go.tz