Hili hapa tangazo la Majina ya walioitwa kazini Afya, TIE, ATC, JKCI, Pwani, Geita, PSC, Mbarali, TALIRI, Dodoma, TVLA, MoCU, DIT, TAFORI, MNH, IRDP, MNMA, GCLA. Leo, Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 20-01-2024 na tarehe 18-12-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Zingatia, Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva

Vituo vya Usaili Kada za Ualimu Ajira Portal 2025
Ajira za Walimu
Walioitwa kwenye usaili Kada za Ualimu Majina ya Nyongeza MDAs & LGAs
Ajira za Walimu 2025
Attachments
Last edited by a moderator: