Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal 2025 Kutoka Utumishi Leo 4/2/2025

Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal 2025 Kutoka Utumishi Leo 4/2/2025 Ajira Mpya 2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Leo, Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal 2025 Kutoka Utumishi Leo 4/2/2025. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 29-09-2024 na tarehe 12-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal 2025 Kutoka Utumishi Leo 4/2/2025


Bonyeza hapa kupakua PDF
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom