Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini Ajira Portal - Utumishi - Halmashauri za Mkoa wa Katavi Tangazo la Matokeo ya Usaili kwa Waombaji Kazi PSRS 2024/2025 yaliyo tangazwa leo tarehe 7 Novemba 2024.
Kuitwa kazini utumishi na ajira portal Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawaarifu waombaji wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02 Septemba 2024 na 13 Septemba 2024 kuwa matokeo ya usaili yamechapishwa rasmi. Matokeo haya yanajumuisha waombaji waliofaulu pamoja na wale waliokuwa kwenye kanzidata kwa kada mbalimbali na wamepangiwa vituo vya kazi kufuatia nafasi zilizopatikana.
Pitia: Kuitwa kazini Singida
Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.
Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal
Kuhusu Katavi: Mkoa wa Katavi una ukubwa wa kilomita za mraba 47,527 na ulitangazwa rasmi tarehe 01 Marchi, 2012 kwa uamuzi wa serikali wa kuanzisha Mikoa minne mipya ambayo ni (Katavi, Njombe, Simiyu na Geita) kwa lengo la kusogeza huduma za ki-utawala na Ki-uchumi kwa wananchi wake na ulizinduliwa rasmi tarehe 25/11/2012 na Mheshimiwa Gharib Bilal, Makamu wa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Maagizo kwa Waombaji Waliofaulu
Waombaji wanaotakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi wanapaswa kufika na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo yao kuanzia kidato cha nne hadi ngazi ya juu. Vyeti hivi vitahakikiwa na mwajiri kabla ya kupewa barua rasmi za ajira. Ni muhimu kwa waombaji kufuata muda uliowekwa kwenye barua hizo ili kuepuka kuchelewa.
Taarifa Muhimu kwa Waombaji
Kwa waombaji ambao majina yao hayapo katika orodha hii, tafadhali tambua kuwa hawakufaulu usaili huu. Hata hivyo, mnaweza kujaribu tena nafasi nyingine zitakapotangazwa.Soma zaidi: Jinsi ya Kujisajili Ajira Portal