Majina ya Walioitwa kazini Bodi ya Tumbaku Tanzania, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, UDOM, IAE

Majina ya Walioitwa kazini Bodi ya Tumbaku Tanzania, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, UDOM, IAE Ajira Portal

Majina ya Walioitwa kazini Bodi ya Tumbaku Tanzania, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Makundi Maalum, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), aasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-05-2024 na tarehe 18-12-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Majina ya Walioitwa kazini Bodi ya Tumbaku Tanzania, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, UDOM, IAE

Kumbuka, Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.
 

Attachments

Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom