Majina ya Walioitwa Kazini TARURA, Jeshi la Magereza, Polisi Tanzania, LITA, NEEC, MUST, CAMARTEC, TBS, TMDA, TLSB, IJA, Wizara ya Maji

Majina ya Walioitwa Kazini TARURA, Jeshi la Magereza, Polisi Tanzania, LITA, NEEC, MUST, CAMARTEC, TBS, TMDA, TLSB, IJA, Wizara ya Maji Ajira Portal

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini TARURA, Jeshi la Magereza, Polisi Tanzania, LITA, NEEC, MUST, CAMARTEC, TBS, TMDA, TLSB, IJA, Wizara ya Maji na taasisi zingine nyingi.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-05-2024 na tarehe 19-12-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Majina ya Walioitwa Kazini TARURA, Jeshi la Magereza, Polisi Tanzania, LITA, NEEC, MUST, CAMARTEC, TBS, TMDA, TLSB, IJA, Wizara ya Maji

Kuitwa kazini Ajira Portal​

1. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Songwe
2. Wakala Ya Barabara za Vijijini na Mijini(TARURA)
3. Jeshi la Magereza
4. Jeshi la Polisi Tanzania (TPF)
5. Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA)
6. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
7. Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC)
8. Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)
9. Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC)
10. Shirika la Viwango Tanzania (TBS)
11. Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD)
12. Bodi ya Nyama Tanzania (TMB)
13. Wizara ya Maji
14. Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)
15. Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB)
16. Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA)

Bonyeza hapa kupakua majina yote ya walioitwa kazini Utumishi leo PDF
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom