- Views: 12K
- Replies: 1
Leo, Majina ya Walimu, Afya, Kada Mbalimbali Walioitwa kazini Ajira Portal 05/02/2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 17-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
Nafasi za Kazi NIMR Mbeya Saccos
Ajira Mpya 2025
Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Uhamiaji 2025/2026 Chuo cha Uhamiaji
Idara ya Immigration