Majina ya Walioitwa Kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi VETA

Majina ya Walioitwa Kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi VETA KAZI PMO-LYED

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hili hapa Tangazo kuitwa kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi. Itakumbukwa kuwa tarehe 31 Januari, 2025 Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu (OWM-KVAU) ilitangaza fursa za mafunzo ambayo yatatolewa katika Taasisi za mafunzo zilizotangazwa. Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu inapenda kuutaarifu umma kuwa jumla ya vijana 8,000 wamechaguliwa kujiunga na mafunzo katika vyuo 52 nchini. Majina ya vijana waliochaguliwa yamebandikwa kwenye mbao za matangazo za vyuo husika na katika tovuti ya kazi.go.tz. Vijana waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye vyuo hivyo kwa ajili ya kujisajili kuanza mafunzo kuanzia tarehe 3 Machi, 2025. Mafunzo yanatolewa ni ya kutwa. Mikoa na vyuo husika ni kama ifuatavyo:-
Majina ya Walioitwa Kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi VETA

Majina ya Walioitwa Kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi VETA

Majina ya Walioitwa Kuanza Mafunzo ya Ufundi na Stadi za Kazi katika fani mbalimbali kwa njia ya Uanagenzi VETA -2


ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KATIKA FANI MBALIMBALI NA ORODHA YA AKIBA - MACHI 2025

Bonyeza hapo chini Ku-download PDF
 

Download PDF

Back
Top Bottom