- Views: 7K
- Replies: 1
Hii hapa orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Dar es salaam na Dodoma 2025 kufanya interview yaliyo tangazwa muda huu kutoka ajira portal kupitia sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa Umma.
Majina ya wasailiwa wa kada za ualimu watakaofanyia usaili mkoa wa Dar es salaam na Dodoma
usaili wa mahojiano utafanyika: ofisi za sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma (psrs), eneo la dr. asha rose migiro.
Bonnyeza hapa ku-download majina yote (PDF ina mikoa miwili)
Majina ya wasailiwa wa kada za ualimu watakaofanyia usaili mkoa wa Dar es salaam na Dodoma
Usaili mkoa wa Dodoma
Kwa wenye usaili wa kuandika, usaili huo utafanyika:- Chuo kikuu cha dar es salaam (udsm)
- Chuo cha usafirishaji (nit)
- Chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere
- Chuo kikuu kishiriki cha elimu dsm (duce)
Usaili mkoa wa Dodoma
kwa wenye usaili wa kuandika, usaili huo utafanyika: chuo cha dodoma (udom)usaili wa mahojiano utafanyika: ofisi za sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma (psrs), eneo la dr. asha rose migiro.
Bonnyeza hapa ku-download majina yote (PDF ina mikoa miwili)