Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Geita 2025

Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Geita 2025 Ajira za walimu

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Hii hapa orodha ya Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa waGeita 2025 kufanya interview yaliyo tangazwa muda huu kutoka ajira portal kupitia sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa Umma.
Majina ya walioitwa kwenye Usaili kada za Ualimu Mkoa wa Geita 2025

Majina ya wasailiwa wa kada za ualimu watakaofanyia usaili mkoa wa geita
kwa wenye usaili wa kuandika, usaili huo utafanyika:
  • Shule ya sekondari ya wasichana nyankumbu
  • Shule ya sekondari mwatulole
usaili wa mahojiano utafanyika: shule ya sekondari ya wasichana nyankumbu.

Bonyeza hapa ku-download pdf yote ya majina ya interview walimu Geita
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom