Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mikoa mbalimbali Kada za Ualimu 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mikoa mbalimbali Kada za Ualimu 2025 Ajira za Walimu

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Hii hapa orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mikoa mbalimbali Kada za Ualimu 2025 kutoka ajira portal katika ajira za walimu na vituo vya interview
Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mikoa mbalimbali Kada za Ualimu 2025

mim nida na cheti Cha kuzaliwa jina ni PHILIPO KAVUYU NZOTA, lkn kwenye vyeti vingine ni PHILIPO K NZOTA Kuna shida?
 
Nilikuw nauliza Kwa mfano chet Cha kuzaliwa jina la baba ni salim Juma hamisi alaf Mimi kweny vyeti vyangu ni mwajuama Salim hamisi .lile jina la kati nikawa sijalichukua nimechukua la mwisho kitakuwa na shido
 
Ebu andika majina yote yanavyokuwa kwenye vyeti na kwenye cheti cha kuzaliwa na NIDA
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom