Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mkoa wa Songwe

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mkoa wa Songwe Januari 2025

Katibu Tawala Mkoa wa Songwe anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote waliomba kazi za muda mfupi zilizotangazwa tarehe 04 Decemba, 2024 kuwa, usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 10/01/2025 hadi tarehe 13/01/2025 na hatimaye kuwapa vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa watakaotakiwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:
  1. Usaili utafanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 10 Januari, 2025 hadi tarehe 13 Januari, 2025 katika Ukumbi Mdogo wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe.
  2. Kila Msailiwa anatakiwa kufika eneo la usaili akiwa amevaa mavazi nadhifu.
  3. Kila msailiwa anatakiwa kufika eneo la usaili akiwa na vyeti vya umaliziaji wa elimu husika pamoja na vitambulisho vyao vya taifa, kitambulisho cha uraia, kitambulisho cha mpiga kura au hati ya kusafiria.
  4. Kila Msailiwa anatakiwa kufika na vyeti vyake halisi kuanzia cheti cha kidato cha Nne, Kidato cha Sita, Stashahada, Astashahada na Shahada (kwa kutegemea nafasi aliyoomba).
  5. Kwa wasailiwa wa nafasi zinazohusisha kuendesha Bodaboda au Magari wanapaswa kuwa na vyeti vya mafunzo ya ufundi pamoja na Leseni za kufanyia kazi.
  6. Malipo yote (Provisional/Transfer) yanayohusiana na safari ni juu ya Msailiwa.
  7. Kila Msailiwa anapaswa kuzingatia tarehe na muda uliopangwa kwenye ratiba iliyombatanishwa kwenye tangazo hili.
NB: Waombaji waliosomea nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na Mamlaka zinazohusika Tanzania (NECTA, TCU, NACTE).
Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mkoa wa Songwe

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mkoa wa Songwe

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mkoa wa Songwe-2

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mkoa wa Songwe-3

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mkoa wa Songwe-4

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Mkoa wa Songwe-5
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom