- Views: 16K
- Replies: 2
Ili kusoma orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Tanzania 2025 PDF tumia kiunganishi hiki hapo chini tangazo hili limetolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE - RECRUITMENT PORTAL) kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28/4/2025 saa 07:00 Asubuhi hadi tarehe 11/5/2025 kote nchini.
Kwa walioitwa kwenye interview Polisi leo zingatia maelezo yaliyowekwa kwenye tangazo hili.
Angalia hapa majina yote kupitia tovuti.
Au pakua moja kwa moja orodha nzima katika PDF.
drive.google.com
Kwa walioitwa kwenye interview Polisi leo zingatia maelezo yaliyowekwa kwenye tangazo hili.
Angalia hapa majina yote kupitia tovuti.
Au pakua moja kwa moja orodha nzima katika PDF.
TANGAZO LA USAILI POLISI TANZANIA - wananchiforum.com 2025.pdf