Haya hapa Maswali ya Usaili Msimamizi wa kituo, Msimamizi Msaidizi na Karani yaliyo ulizwa leo katika interview Newala kwenda kusimamia uchaguzi mkuu 2025 NEC. Kama una mengine naomba ongezea.
Maswali ya Usaili Msimamizi wa Kituo
Kusimamia Uchaguzi 2
Maswal ya usaili wilaya ya Mwanga ya wasimamiz wa vituo Leo hii
UCHAGUAZI MKUU 2025