Matokeo ya Darasa la Nne 2025 Zanzibar

Matokeo ya Darasa la Nne 2025 Zanzibar matokeo.bmz.go.tz

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
1,220
Baraza la Mitihani la Zanzibar linapenda kuwataarifu Umma wote kuwa matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Nne 2025 yatatolewa leo, Jumamosi tarehe 17 Januari 2026, saa 10:00 jioni.

Matokeo hayo yatapatikana kupitia viungo (links) vifuatavyo:

Angalia hapa matokeo Darasa la Nne 2025 Zanzibar
https://bmz.go.tz/exam-results/schools/

Tazama hapa matokeo Darasa la Nne 2025 Zanzibar
https://matokeo.bmz.go.tz/schools/
Matokeo ya Darasa la Nne 2025 Zanzibar
 
Back
Top Bottom