Matokeo ya Darasa la Nne na Kidato cha Pili 2025 Zanzibar BMZ

Matokeo ya Darasa la Nne na Kidato cha Pili 2025 Zanzibar BMZ Matokeo Zanzibar

NECTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025 SHULE ZOTE BONYEZA HAPA
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
1,247
Baraza la Mitihani la Zanzibar linapenda kuwataarifu Umma wote kuwa matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2025 yatatolewa leo, Jumamosi tarehe 17 Januari 2026, saa 10:00 jioni.

Matokeo hayo yatapatikana kupitia viungo (links) vifuatavyo:

https://bmz.go.tz/exam-results/schools/

https://matokeo.bmz.go.tz/schools/
1768643627902.webp
 
Back
Top Bottom