Baraza la Mitihani la Zanzibar linapenda kuujulisha umma kuwa Matokeo ya Mitihani ya Taifa ya Darasa la Nne na Kidato Cha Pili ya Mwaka 2024 yametolewa na yatapatikana katika tovuti zifuatazo:
Aidha, kwa mzazi, Mwalimu au mwanafunzi ambaye hajaridhishwa na matokeo yaliyowasilishwa anatakiwa kufika ofisi za Baraza la Mitihani Vuga kwa Unguja na ofisi za Baraza zilizopo Chake Chake kwa upande wa Pemba kwa ajili ya kupata maelekezo na kujaza fomu ya malalamiko. Malalamiko hayo yawasilishwe ndani ya kipindi cha mwezi mmoja (1) kuanzia yalipotolewa matokeo.

Matokeo ya Kidato cha Nne 2024/2025 NECTA
Form Four Results 20