Matokeo ya Kidato cha Nne 2024/2025 Baraza la Mitihani Tanzania

Matokeo ya Kidato cha Nne 2024/2025 Baraza la Mitihani Tanzania NECTA

Kesho tarehe 23 Januari 2025 kutakuwa na mkutano na waandishi wa habari kuhusu matokeo ya kidato cha nne 2024 yakitangazwa katika ofisi za Baraza la Mitihani la Tanzania (Dar es Salaam) saa tano asubuhi form four examination results 2024/2025.
Matokeo ya Kidato cha Nne 2024/2025 Baraza la Mitihani Tanzania


Tazama:
Matokeo hayo yatatangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta DK, Said Mohammed. Na yatapatikana katika tovuti rasmi ya www.necta.go.tz
 
Last edited:
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom