Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 Yatangazwa na NECTA "CSEE"

Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 Yatangazwa na NECTA "CSEE" Form Four_results

Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 - Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kuwa matokeo rasmi ya Mtihani wa form four 2024/2025 (CSEE) kwa mwaka wa masomo 2024/2025 yatatangazwa kesho, tarehe 23 Januari 2025, majira ya saa tano asubuhi.
Matokeo ya Kidato cha Nne 2024 Yatangazwa na NECTA CSEE

Mkutano rasmi wa kutangaza matokeo haya utafanyika katika ofisi za NECTA jijini Dar es Salaam, ambapo Katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt. Said Mohammed, atatoa hotuba maalum na kuyatangaza matokeo hayo kwa umma.

Matokeo Ya Kidato cha nne 2024​

Kwa wale wanaosubiri matokeo kwa hamu, taarifa zimeeleza kuwa matokeo haya yatapatikana pia katika mfumo wa PDF, hivyo kuwawezesha watahiniwa na wadau wengine kuyapakua kwa urahisi mtandaoni.

Kwa maelezo zaidi, unaweza kutembelea tovuti rasmi ya NECTA au kufuatilia matangazo kwenye vyombo vya habari.

Mambo Muhimu ya Kuzingatia:​

  1. Tovuti ya NECTA: Matokeo yatapatikana moja kwa moja kwenye tovuti rasmi ya NECTA mara baada ya kutangazwa.
  2. PDF: Faili za matokeo katika mfumo wa PDF zitawekwa kwa urahisi wa ufikiaji.
  3. Muda Muhimu: Hakikisha unafuatilia matangazo ya matokeo kuanzia saa tano asubuhi tarehe 23 Januari 2025.
Mapendekezo ya wasomaji:
Hongera kwa watahiniwa wote waliofanya mtihani wa Kidato cha Nne 2024! Tunawatakia kila la heri katika safari zenu za kitaaluma.
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom