Gift submitted a new resource:
Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba 2024/2025 BMZ Yametangazwa Leo - Baraza la Mitihani la Zanzibar Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba 2024
Read more about this resource...
Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba 2024/2025 BMZ Yametangazwa Leo - Baraza la Mitihani la Zanzibar Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba 2024
Leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Zanzibar Dkt. Rashid Abdul-azizi Mukki akitoa taarifa ya ufaulu wa kimasomo Katika Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba kwa Mwaka 2024.
Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Zanzibar Dkt. Rashid Abdul-azizi Mukki leo tarehe 30/12/2024 ametangaza matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Darasa la Saba katika ukumbi wa...
Read more about this resource...