Matokeo ya uchaguzi wa waombaji wa kozi za Afya na Sayansi Shirikishi 2025 Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linautaarifu umma kuwa matokeo ya uchaguzi wa awamu ya kwanza kwa waombaji wa programu za Afya na Sayansi Shirikishi kwa mwaka wa masomo 2025/2026 yanatangazwa rasmi leo tarehe 25 Julai, 2025.
Pakua PDF hapa.
Angalia orodha ya majina hapa.
Pakua PDF hapa.
Angalia orodha ya majina hapa.
Waliopata Mkopo HESLB Tanzania
2025 PDF
Waliochaguliwa NACTVET
26-07-2025