Haya hapa matokeo ya usaili Ajira Portal wa kuandika ulifanyika tarehe jana tarehe 04/01/2025
Sekretarieti ya Ajira Utumishi
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.