Matokeo ya Usaili TRA Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kutoa taarifa kwa watahiniwa wote waliofanya usaili wa kuandika wa TRA tarehe 29 na tarehe 30 Machi, 2025 kwamba, matokeo hayo yaliyotakiwa kutolewa leo tarehe 25 Aprili, 2025 sasa yatatolewa tarehe 26 Aprili, 2025. Tunawashukuru kwa subira.
MKURUGENZI WA RASILIMALIWATU NA UTAWALA
Imetolewa na;“Pamoja Tunajenga Taifa Letu”
MKURUGENZI WA RASILIMALIWATU NA UTAWALA
Nafasi za Kazi Chuo cha Mbeya MUST
25-04-2025
Matokeo ya Usaili TRA Tanzania
26-04-2025