- Views: 11K
- Replies: 3
Haya hapa Matokeo ya Usaili TRA (Interview ya kuandika) Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe itakayotolewa kwenye tangazo na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:
1. Usaili utafanyika kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili; muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada;
2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask).
3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia au Hati ya kusafiria.
Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
Angalia hapa matokeo yaliyopita.
Ikumbukwe, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilithibitisha kuwa matokeo ya usaili wa maandishi wa Machi 29-30, 2025 kwa nafasi mbalimbali za ajira yatatangazwa rasmi Aprili 25, mara baada ya kupokea taarifa kutoka kwa mshauri elekezi Aprili 23. Usaili wa vitendo utaanza Mei 2 kwa madereva na waandishi wa ofisi, huku mahojiano kwa kada nyingine yakifuata kuanzia Mei 7. Ajira rasmi zitaanza Juni 2025 baada ya mafunzo elekezi.
Umejiandaaje kuyapokea, weka reply yako hapo chini.