Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Moshi Jonathan Kabengwe, ametangaza kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30, 2025 kwa waombaji wa nafasi za kazi TRA yatatangazwa tarehe 25 Aprili 2025. Matokeo hayo yatapatikana kupitia tovuti rasmi ya TRA (tra.go.tz) baada ya kuwasilishwa na mshauri elekezi NBAA. Bw. Kabengwe alitoa taarifa hii leo tarehe 2 Aprili 2025 jijini Dar es Salaam.
Nafasi 185 za kazi Reveurse
Ajira Mpya 2025