HAYA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MWALIMU DARAJA LA IIIB (KEMIA, BAIOLOJIA,TEHAMA, JIOGRAFIA) NA MWALIMU DARAJA LA IIIA ELIMU YA AWALI ULIOFANYIKA TAREHE 22/01/2025
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili.Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.
Nafasi za Kazi Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHST)
Ajira Mpya 2025
Nafasi za Kazi MUV Group
Ajira Mpya 2025