Matokeo ya Usaili wa Kuandika Ajira za TRA Kutangazwa 25 Aprili 2025

Matokeo ya Usaili wa Kuandika Ajira za TRA Kutangazwa 25 Aprili 2025 25-04-2025 Interview

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Matokeo ya Usaili wa Kuandika Ajira za TRA Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Moshi Jonathan Kabengwe, ametangaza kuwa matokeo ya interview ya maandishi uliofanyika Machi 29 na 30, 2025 kwa waombaji wa nafasi za kazi TRA yatatangazwa tarehe 25 Aprili 2025. Matokeo hayo yatapatikana kupitia tovuti rasmi ya TRA (tra.go.tz) baada ya kuwasilishwa na mshauri elekezi NBAA. Bw. Kabengwe alitoa taarifa hii leo tarehe 2 Aprili 2025 jijini Dar es Salaam.

Waliochaguliwa kuendelea na usaili TRA, yatawekwa hapa.
Matokeo ya Usaili wa Kuandika Ajira za TRA Kutangazwa 25 Aprili 2025
 
Last edited by a moderator:
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom