Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Kuandika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) na Chuo cha Maji December 2024 yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma uliofanyika siku ya jana tarehe 14 Disemba 2024.
Mwongozo: Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.