Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) uliofanyika tarehe 15/05/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.
Angalia matokeo yako hapa.
www.ajira.go.tz
Angalia matokeo yako hapa.
News Update :: Public Service Recruitment Secretariat
Public Service Recruitment Secretariat / Ofisi ya Raisi katika Utumishi wa Umma
