Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika chuo kikuu cha sayansi na Teknolojia mbeya (MUST) uliofanyika tarehe 05/03/2026 Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
Pakua PDF hapa.
Pakua PDF hapa.
- TUTORIAL ASSISTANT (PROCUREMENT AND SUPPLY CHAIN MANAGEMENT)
- TUTORIAL ASSISTANT (MECHANICAL ENGINEERING)
- TUTORIAL ASSISTANT (HEALTH INFORMATION SYSTEM MANAGEMENT)
- TUTORIAL ASSISTANT (FORESTRY BOTANY)
- TUTORIAL ASSISTANT (FOOD ENGINEERING)
- TUTORIAL ASSISTANT (ENVIRONMENTAL HEALTH SCIENCES)
- TUTORIAL ASSISTANT (CYBER SECURITY)
- TUTORIAL ASSISTANT (AQUACULTURE)