HAYA HAPA MATOKEO YA USAILI WA VITENDO CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI NA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI ULIOFANYIKA TAREHE 04/12/2024 KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA KUPITIA UTUMISHI WA UMMA.
Mwongozo: Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili, Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates), Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.