Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika chuo kikuu cha huria Tanzania uliofanyika tarehe 06/05/2025 Utumishi / Ajira portal, Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.
Angalia hapa matokeo.
www.ajira.go.tz
Angalia hapa matokeo.
News Update :: Public Service Recruitment Secretariat
Public Service Recruitment Secretariat / Ofisi ya Raisi katika Utumishi wa Umma
