Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania uliofanyika tarehe 07/05/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.
Tazama hapa matokeo.
www.ajira.go.tz
Tazama hapa matokeo.
News Update :: Public Service Recruitment Secretariat
Public Service Recruitment Secretariat / Ofisi ya Raisi katika Utumishi wa Umma
