Hili hapa tangazo la Matokeo ya Usaili wa Kuandika Jiji la Mbeya Mwalimu Daraja III A baada ya mtihani wa kuandika wasailiwa wote waliofaulu/waliochaguliwa wanatakiwa kuhudhuria usaili wa mahojiano ya ana kwa ana utakao fanyika kuanzia tarehe 24/04/2025 katika shule ya sekondari Luleza.
Angalia hapa.
Angalia hapa.