Matokeo ya Usaili wa Kuandika UDSM, NIT, TMA 07-12-2024

Matokeo ya Usaili wa Kuandika UDSM, NIT, TMA 07-12-2024

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 87%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
603
Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi wa Kuandika UDSM, NIT, TMA, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 7 Desemba 2024, orodha kamili ya majina ya waliotwa kuendelea na usaili na waliofaulu yapo chini hapa.
Matokeo ya Usaili wa Kuandika UDSM, NIT, TMA 07-12-2024

Angalizo:
Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili, Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao.

Matokeo ya usaili yaliyo tangazwa​

 
Back
Top Bottom