Matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 15/03/2025

Matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 15/03/2025 Utumishi

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 42%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
355
Haya hapa Matokeo ya Usaili Ajira Portal na Utumishi wa Kuandika, yaliyo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Tanzania uliofanyika tarehe 15 machi 2025, orodha kamili ya majina ya waliotwa kuendelea na usaili na waliofaulu yapo chini hapa.
matokeo ya usaili.webp

ANGALIZO: Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. Matokeo ya usaili wa kuandika

 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom