Haya hapa matokeo ya usaili wa kuandika uliofanyika tarehe 25/05/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.
Angalia hapa.
www.ajira.go.tz
Angalia hapa.
News Update :: Public Service Recruitment Secretariat
Public Service Recruitment Secretariat / Ofisi ya Raisi katika Utumishi wa Umma
